KICHIMBAJI KOBELCO SK75SR-3

Fomu Ya Uchunguzi

Mtindo-ECO mpya kwenye SK75SR unaleta akiba ya kiwango cha juu zaidi cha fueli kugeuza modeli SR kuwa mashini za kipato-kikubwa za kipekee.

​Njia mpya ya KOBELCO ya kufikia matumizi ya kiwango cha chini ya fueli, NEXT-3E, sasa pia inahusisha modeli za unin’ginio nyuma mfupi, kuongeza zaidi kiasi cha kazi huku ikihifadhi fueli. Na mtindo-ECO mpya kwenye SK75SR unaleta akiba ya kiwango cha juu zaidi cha fueli kugeuza modeli SR kuwa mashini za kipekee zenye mapato ya kiwango cha juu. KOBELCO inaendelea kuongoza uwanja kwenye vichimbaji vya unin’ginio nyuma mfupi. 

Specifications :

  • Injini : 56 hp
  • Uzito wa Utenda Kazi : 6,940 kg
  • Nafasi ndoo : 0.28㎥ bucket
  • Mkusanyiko : Mini
  • Mfumo Haydroliki : Two variable displacement pumps + 1 gear pump
  • Mfumo Usafiri : 2 x axial piston, two-speed motors