KICHIMBAJI KOBELCO SK250

Fomu Ya Uchunguzi

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tulitengeza sirisi ya SK, aina mpya ya kichimbaji ambayo inasawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo. Iliyokonda na yenye ufanisi pamoja na nafasi pia, vyombo hivi vya nguvu vyenye kun’gara vinaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi huku vikiweka viwango vipya vya kuwajibika kimazingira.

Tunapoanza kubuni vichimbaji vipya vya haydroliki vyetu, tulilenga picha kubwa. Ndio tulitaka mashini zenye uwezo mkubwa zaidi wa kuchimba. Lakini pia lazima mashini hizo ziwe na ufanisi wa fueli na ziwe na bei nafuu, huku zikiwa na uzito wa kiwango cha chini zaidi kwa mazingira ya kienyeji na kimataifa.

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tulitengeza sirisi ya SK, aina mpya ya kichimbaji ambayo inasawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Iliyokonda na yenye ufanisi pamoja na nafasi pia, vyombo hivi vya nguvu vyenye kun’gara vinaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi huku vikiweka viwango vipya vya kuwajibika kimazingira.

Specifications :

  • Injini : 184 hp
  • Uzito wa Utenda Kazi : 24,600KG
  • Nafasi ndoo : 0.81 – 1.4 m3 ISO heaped
  • Mkusanyiko : Medium
  • Mfumo Haydroliki : Two variable displacement pumps + 1 gear pump
  • Mfumo Usafiri : 2 X axial-piston, two-step motors