KICHIMBAJI KOBELCO SK500HDLC

Fomu Ya Uchunguzi

Sirisi mpya ya ACERA GEOSPEC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Tunapoanza kubuni vichimbaji vipya vya haydroliki vetu, tulilenga picha kubwa.

Ndio tulitaka mashini zenye uwezo mkubwa zaidi wa kuchimba. Lakini pia lazima mashini hizo ziwe na ufanisi wa fueli na ziwe na bei nafuu, huku zikiwa na uzito wa kiwango cha chini zaidi kwa mazingira ya kienyeji na kimataifa.

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tuliunda sirisi mpya ya ACERA GEOSPEC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kabisa kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Iliyokonda na yenye ufanisi pamoja na nafasi pia, vyombo hivi vya nguvu vyenye kun’gara vinaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi huku vikiweka viwango vipya vya kuwajibika kimazingira.

Specifications :

  • Injini : 344 hp
  • Uzito wa Utenda Kazi : 51,900 kg
  • Nafasi ndoo : 2.1 - 3.4 m3 ISO heaped
  • Mkusanyiko : Large
  • Mfumo Haydroliki :
  • Mfumo Usafiri : 2 X axial-piston motor, two-step motors