Basi lepesi la Golden Dragon sio tu onyesho la teknolojia nzuri zaidi, lakini pia kubadilishika kwake kulingana na soko za viwango-anuwai.
- Teknolojia nzuri zaidi: Ni mchanganyiko wa teknolojia za basi nyepesi za Golden Dragon za miaka 20 kwa kila hali
- Kupaka kielektroforeti: Mchakato wa kupaka kielektroforeti kunatumiwa kwa gari zima. Kizazi cha sita cha rangi ya kupinga-kukwaruzwa iliyo nzuri kimazingira ya bila-ledi ya PPG kutoka Marekani inatumiwa kuongeza uzuri wa jumla na kudumu kwa mwili na kuibakisha kun’gara kwa zaidi ya miaka 10.
- Imara na Salama: Kuwekwa pleti za chuma maalum zenye unene-ziada za 1.2mm zenye ubunifu mwili wa kujisimamia zinafanya gari zima liwe imara, salama na la kimtindo kwa kuonekana.
- Mwili uliorefushwa: Inachukua uongozi kuurefusha mwili hili kuzidisha nafasi. Upangaji viti wa kubadilishika inaifanya ifae kwa kutumiwa kwa abiria au mzigo.
- Uso mpya wa mbele : uso mpya wa mbele una usalama na uzuri zaidi.
- Uchumi wa fueli: Ni chaguo lako kutumia injini za gasolini au dizeli za modeli tofauti kuhakikisha nguvu ya kutosha na uchumi wa fueli kwenye hali tofauti.
- Utendaji kazi wa kuaminika: Imepimwa kwa usimamizi mkali kuhakikisha operesheni za kuaminika. Mifumo imeboreshwa kulingana na data vipimo za benchi na barabara kuhakikisha operesheni ya kuaminika hata kwenye mazingira mabaya ya utendaji kazi
- Mwili wa kimtindo wa kujibuni yenyewe.
- Mwili uliopanuliwa wenye nafasi ya ziada.
- Inapatikana kwa Injini petroli/Dizeli
- Nguvu madhubuti.
- Pleti ya chuma yenye unene wa ziada kwa Uimara & Usalama
- Upangaji viti Unaobadilishika - Viti 9 hadi 15