Pirelli & C. SpA ni kampuni ya kimataifa iliyo na makao makuu yake mjini Milan, Italy, iliyokuwa imeorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Milan kwanzia 1922. Ilimilikiwa mnamo 2015 na ChemChina